JINSI YA KUWEKA NYWILA (PASSWORD) KWENYE USB FLASH DRIVE BILA KUTUMIA SOFTWARE YOYOTE
Jinsi ya kuweka nywila kwenye USB Flash drive bila kutumia
software yoyote.
Usalama katika teknolojia ni jambo la muhimu sana, hivyo
basi leo tunawapa nyie wasomaji wetu nbinu ya kulinda data zako katika USB
Flash Drive.
Unachotakiwa kufanya:-
·
Chomeka USB Flash katika computer
·
Fungua control
panel
·
Fungua system and Security
·
Fungua BitLocker
Drive Encryption
·
Tafuta USB Flash yako
. Bonyeza turn
on bitlocker . Au fungua my computer, right click kwenye usb drive. Chagua turn on bitlocker
·
Chagua jinsi unavyotaka kufungua USB flash
(chagua use password to unlock the drive)
·
Weka password alafu bonyeza next
·
Utaulizwa (how do you want to store
your recovery key) click Save The Recovery Key To A
File. chagua sehemu utakayo save na kama ukipenda unaweza ukarename filename.
·
Kisha click Start
Encrypting
kufikia hapo mtu hataweza kutumia flash drive yako bila kujua password. |
24Technology tupo kwa ajili yako.
No comments
Post a Comment