Jinsi Ya Kuzuia Mtu Kujua Kama Umesoma Ujumbe Wake Katika Whatsapp (zuia tiki za bluu)
![]() |
zuia tiki za bluu |
Jinsi ya kumzuia mtu kujua kama umesoma ujumbe aliokutumia ni rahisi sana fanya yafuatayo:-
- Fungua Whatsapp yako
- Nenda kwenye Setting
- chagua Account
- chagua Privacy
- Kisha tazama eneo la chini kuna sehemu imeandikwa "Read receipts"
halafu mbele yake kuna tiki, ondoa hiyo tiki kwa kuibonyeza.
- kwa kufanya hivyo utakua umefanikiwa kuzuia mtu yeyete atakaekutumia
ujumbe kujua kama umeusoma kwa sababu hata ukisoma kwake tiki za bluu
hazitaonekana.
No comments
Post a Comment