Header Ads

  • FAHAMU KUHUSU VIRUS NA JINSI UNAVYOWEZA KUWAPATA, NA KUJIKINGA


    KOMPYUTA VIRUS. ni aina ya mafile yasiyo itajika ambayo yanajipachika  kutoka katika (browser),App mbali mbali pia hata kwa njia ya USB toka PC moja hadi nyingine,pia katika mitandao mbali mbali na ni hatari katika compyuta yako wanaweza kuathiri nyaraka zako,pia hata baadhi ya mafile katika Operating System (OS)/ Program Endeshi.

    JE KUPITIA E-MAIL UNAWEZA KUPATA  VIRUS??
    Ndio unaweza kupata virus kupitia e-mail yako kwa namna moja ama nyingine.
    pia unaweza kujilinda na virus wa e-mail kwa kujibu maswali yafuatayo

    1. je unamjua mtu alie kutumia e-mail?
    2. je unajua iyo e-mail ina husu nini?
    3. je una mwamini kiasi gani?
    Jinsi ya kujikinga na Virus:
    epuka virusi kwenye komputa yako
    • Shusha/install anti-virus yenye nguvu katika komputer yako, anti-virus za kununua ndio zinasemekana kua imara kuliko za bure yani free antivirus.
    • Hakikisha unafanya masasisho (updates) kila toleo jipya la anti-virus unayotumia likitoka.
    • Epuka kutumia vifaa ambavyo ni rahisi kuwa na virus kama si cha kwako, kama USB flash drive, DVDs, CDs, External Hard Disks na vinginevyo.
    • Unapokua mtandaoni epuka kufungua pop up za kivinjari (browser) zinazojitokeza zenyewwe bila wewe kuzifungua.
    • usipende kupakua software ambazo hazieleweki, soma kwanza maelezo yake kabla ya kupakua software yeyote.
    • Hakikisha firewall/ukuta wa moto katika kompyuta yako upo on.
    Hayo ni machache yatakayoweza kukusaidia kujikinga/kuzuia virus katika computer yako.

    1 comment

    ibrahamvail said...

    snow peak titanium Flask - Titanium Art - The Classic Art Store
    It's a lightweight titanium flask. titanium nipple bars We columbia titanium designed a Flask to fit every type of gadget, from ridge wallet titanium the start. You 포커 will be titanium eyeglass frames able to create these awesome experiences