Header Ads

  • Fanya Kompyuta Yako Ikukaribishe Kila Unapo Iwasha.

    fanya kompyuta yako ikukaribishe
    Utajiskiaje ukiwasha kompyuta yako nakuskia inakukaribisha? Naamini utafurahi, ili kufanikisha hilo fanya yafuatayo:-

    i.  Fungua Notepad, bonyeza window button + R kisha andika NOTEPAD ndani ya kidirisha kitakachotokea alafu bonyeza enter.

    ii.  Andika hizi kodi ndani ya notepad yako;
    Dim speaks, speech
    speaks="Welcome to your PC, Username"
    Set speech=CreateObject("sapi.spvoice")
    speech.Speak speaks


    iii.  Kwenye username andika jina lako, kisha save, kwenye notepad bonyeza file kisha Save as. Save kwa jina la Welcome.vbs 'kwenye Save as ype chagua all files' isave kwenye desktop.

    iii.  Ukisha save kopi hilo file. Kwa watumiaji wa Windows 7 na Kuendelea nenda kwenye C:\Users\ {User-Name}\AppData\Roaming\Microsoft\Windows\Start Menu\Programs\Startup,    ukifika kwenye startup paste hilo file katika partition C kama AppData haionekani unatakiwa mafolder yaliyokuwa hidden ili yaonekane ili kufanikisha hilo unatakiwa kwenda kwenye Control panel/appearance and personalization/file explorer options/view, mark sehemu iliyoandikwa show hidden files, folders and drives kisha apply na ubonyeze ok.

    iv.  kwa matokeo mazuri inakubidi ubadilishe Sound Scheme kwenda No Sound
    unaweza kubadilisha kwa kupitia hatua zifuatazo:-
    1. nenda kwenye control pannel
    2. chagua switch to classic view
    3. bonyeza kwenye Sound and Audio Devices
    4. bonyeza kwenye tab ya Sounds
    5. chagua no Sounds kwenye Sound Scheme Option
    6. kisha save
    hapo utakua umemaliza anza kufurahia kukaribishwa na komputa yako kama utakua umefata hatua kwa hatua bila kukosea sehemu yeyote.

    No comments