Header Ads

  • JINSI YA KUTENGENEZA SAA KWA KUTUMIA NOTEPAD

    Fuata hatua hizi ili kutengeneza saa kwa kutumia notepad

    i.    Fungua notepad kwa kubonyeza start button + R, kisha  andika notepad kisha bonyeza enter, notepad itafunguka.
    ii.    Kisha kopi hizi kodi hapa chini na upesti kwenye notepad uliyofungua.
    @echo off
    Title DOS Based Date and Clock
    color b
    cls
    : Clock
    cls
    echo Current Date: %date%
    echo .............
    echo .............
    echo Current Time: %time%
    goto Clock


    iii.     Save kama saa.bat {save kwenye desktop au popote utakapo penda).
    iv.     Ukisha save utaona batch file linalosomeka saa.bat kama  extension name haijawa       
              hidden ila kama ni hidden utaona kama saa.
    v.       Double click, (donoa mara mbili) ili kuona matokeo.

    No comments